Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
25MNgapi hii Boss
ππππKwenye bei usitumie sifuri zinarusha roho, tumia 'mil 12' nakadhalika ! Ushauri tuu.
Haha ushauri mzuri nimeupokeaKwenye bei usitumie sifuri zinarusha roho, tumia 'mil 12' nakadhalika ! Ushauri tuu.
Mkuu umeona mbali sana mi mwenyew huwa nastukaKwenye bei usitumie sifuri zinarusha roho, tumia 'mil 12' nakadhalika ! Ushauri tuu.
Nipigie uje ukague gari 0658124554Nahitaji toyota vitz nina mil 5 gari iwe kwenye hali nzuri.
Nipigie uje ukague gari 0658124554
Hii hapaMkuu kama inawezekana niwekee hata picha kidogo nijue jinsi ilivvyo
Au aweke ',' mfano 6,500,000/= kuliko kuandika 6500000Kwenye bei usitumie sifuri zinarusha roho, tumia 'mil 12' nakadhalika ! Ushauri tuu.
Tatizo hizo sifuri !Au aweke ',' mfano 6,500,000/= kuliko kuandika 6500000
Mbele DGQ nyuma BLK.....π³π³π³
Ni gari mbili tofauti nimezichanganya..Hiyo DG ishauzwaMKUU HII NI NUMBER BLK AU DGQ
AU NI GARIMBILI TOFAUTI