Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Nyengine hii hapa inataka 5.5MMkuu kama inawezekana niwekee hata picha kidogo nijue jinsi ilivvyo
Mpaka tuisake sanaKuna jamaa yangu anahitaji Carina TI "Matako ya nyani" anaweza kupata?
Hii nimeipenda mkuu..inapungua mpaka ngapi?Toyota Noah gear fupi, bei ni 10.5 MView attachment 623123View attachment 623124View attachment 623125
Bei ?Cresta gx100
Engine:1g kavu
Mawasiliano:0658124554View attachment 840254View attachment 840256
Sent using Jamii Forums mobile app
'matako ya nyani' !?...ngoja tuioneKuna jamaa yangu anahitaji Carina TI "Matako ya nyani" anaweza kupata?
Kwenye bei usitumie sifuri zinarusha roho, tumia 'mil 12' nakadhalika ! Ushauri tuu.