Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Harrier old model chases number inauzwa Milioni 8 haijalipiwa ushuru

Anaeitumia kapewa kibali cha kuendesha miezi mitatu kikiisha anarudi kwao

Ni 6 cylinder

Kama kuna mtumishi unaweza kuombea msamaha wa kodi njoo ukague gari tufanye biashara

Hiyo bei tunaweza kumshawishi apunguze kidogo

Nipigie 0658124554

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toyota Porte
Mwaka :2006
1290CC
Imetembea km laki na ishirini
Bei: Milioni 7
Mawasiliano:0658124554
 
habari mkuu, natafuta IST cc1300 number D budget 7-7.5, rangi silver, dark blue, kijivu iliyokolea ama black.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…