Dah Master master master,, nimekuita Mara tatu kukwambia mbona wantoa roho????nikupe Dada yangu uoe mie unipe hiyo gariVipi hii itakufaa? inatakiwa milioni 10View attachment 866619View attachment 866620View attachment 866621View attachment 866622
Dah Master master master,, nimekuita Mara tatu kukwambia mbona wantoa roho????nikupe Dada yangu uoe mie unipe hiyo gari
Hahahaaaaaa unajua Nina Dada ana danga tu so ni bora nimpe mwana aowe tu hahahahaaa maana wachoma chips wanafaidi kweli hadi roho inauma[emoji12][emoji3][emoji3][emoji3] mkuubaba angalia master asije kua mende tu akakugeukia wewe
Mamamamamaaaeeeee pesa pesa pesa pesa lini tutazinyaka tutembelee mata.ko ya heshima namna hii.....DaahVipi hii itakufaa? inatakiwa milioni 10View attachment 866619View attachment 866620View attachment 866621View attachment 866622
😂😂😂😂😂Hahahaaaaaa unajua Nina Dada ana danga tu so ni bora nimpe mwana aowe tu hahahahaaa maana wachoma chips wanafaidi kweli hadi roho inauma[emoji12]
Haha kaka ake ,tuache utani hii mashine ni tamu kiaje yani, nilifanikiwa kuendesha ya brother etu mmoja hv doh...watu wanaishi wajameni, sie twasindikizaVW Toureg
Bei: Milioni 16
V6
Mawasiliano:0658124554View attachment 848554View attachment 848555View attachment 848556View attachment 848557
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu weka aina nyingi za magari na hakikisha ni new modelsWakuu habari zenu, leo nimeamua kuja na mjumuiko wa magari ambayo naamini yatawafaa wengi.Nayaorodhesha hapa kama ifuatavyo.
NB:Gari nyingi nzuri zipo post za chini, kama hutaweza kupitia zote nakushauri upitie japo post 5 kuanzia chini kuja juu.
1:Toyota mark x ya mwaka 2004,imetembea km 203000,engine 2990cc bei ni 8.3MView attachment 621422View attachment 621423View attachment 621424View attachment 621425
2: Noah Townace ya mwaka 2001,imetembea km 128000 bei ni 12.5MView attachment 621428View attachment 621430View attachment 621432
3:Toyota Noah sr40,bei 8.5MView attachment 621433View attachment 621434View attachment 621436
4😛ick up double cabin engine 3l, bei 17MView attachment 621440View attachment 621442
5:Kluger new model, 4cylinder bei 20MView attachment 621446View attachment 621447View attachment 621448View attachment 621449View attachment 621451
6😛rado Tx imetembea km 57000 ,engine 3rz, bei 26MView attachment 621454View attachment 621455View attachment 621457
Tuwasiliane kupitia 0689699704,karibuni sana.
Haaaaaa mkuu tulia utamiliki tu mi navutia pumzi tu dadaakiiiiii huu uzii naukubali sanaaaaMamamamamaaaeeeee pesa pesa pesa pesa lini tutazinyaka tutembelee mata.ko ya heshima namna hii.....Daah
Hatari sana mzee babaHaaaaaa mkuu tulia utamiliki tu mi navutia pumzi tu dadaakiiiiii huu uzii naukubali sanaaaa
Unakuta ndinga kaliii afu 5.5mil daaah zipo hadi 3mil afu mzee unajikuta hata laki mbili hunaHatari sana mzee baba
Hahahahaaa,kuna situ tu utaziotea yani ile Bubaa unanyaka mzigo kiroho safi kabisaUnakuta ndinga kaliii afu 5.5mil daaah zipo hadi 3mil afu mzee unajikuta hata laki mbili huna
Ngoja tuzichange change ila huu Uzi naukubali snHahahahaaa,kuna situ tu utaziotea yani ile Bubaa unanyaka mzigo kiroho safi kabisa
Utazipata tu maadamu hujakata tamaaMamamamamaaaeeeee pesa pesa pesa pesa lini tutazinyaka tutembelee mata.ko ya heshima namna hii.....Daah
Gari tamu kweli ila sote tunaishi hakuna msindikizaji.. Kikubwa ni kuridhika na alichokupa mungu na kufanya bidii zaidi kufika huko walikofikaHaha kaka ake ,tuache utani hii mashine ni tamu kiaje yani, nilifanikiwa kuendesha ya brother etu mmoja hv doh...watu wanaishi wajameni, sie twasindikiza
Yaani ni full luxury car.
Zipo nyingi mkuu na bado naendelea kuzipost ...Fuatilia post zinazofuataMkuu weka aina nyingi za magari na hakikisha ni new models