Master hii gari kwa 13 M VP?Toyota RAV4
Mwaka:1998
Engine:3S
Bei: Milioni 15.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 871784View attachment 871785View attachment 871787View attachment 871788
Bado upo chini mkuuMaster hii gari kwa 13 M VP?
Asee hii!Toyota Vits
New model
Mwaka:2006
990CC
Bei: Milioni 7.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 873486View attachment 873488View attachment 873490
Karibu bossAsee hii!
Si mchezo,Bonge la msumari halafu bei km kununua mchicha vile sokoni daahBMW X5
Mwaka:2004
Bei: Milioni 15
Mawasiliano:0658124554View attachment 874994View attachment 874995View attachment 874996View attachment 874997View attachment 874998
Hahaha uliambiwaga wapi mkuuniliambiwaga wanaochangia humu wakienda pm fastafasta
ngoja nichangie na mimii leoo
kuleee tunapopewaga coupons za kuingilia humu jamii forumHahaha uliambiwaga wapi mkuu