Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Toyota Dayna
Tani3
Bei: Milioni 27
Mawasiliano:0658124554View attachment 896934View attachment 896935View attachment 896937
Nipe Toyota Dyna namba kuanzi c iwe Box body naitaji mbili kwa ipo milioni 10 kila moja kama unazo nichek whatsapp no 0763166893 pia naitaji Nissan civilian namba kuanzia c msharti yake isiwe imefanya kazi ya daladala kabisa iwe na black camera na video TV,, naitaji moja milioni 23 ipo kwa ajili ya gari hiyo iwe na seat za kutoka na gari Japan
 
Zenye sifa hizo sina
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…