Daah mwamba una mashine kali ssna wacha tu tuendelee kujichanga mkuu siku nikiwa na mpunga ili dude nitakustua tuToyota Prado
3rz engine
Bei: Milioni 13.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 899804View attachment 899805View attachment 899806View attachment 899807
Poa mwamba zichange tu zikienea nikichekiDaah mwamba una mashine kali ssna wacha tu tuendelee kujichanga mkuu siku nikiwa na mpunga ili dude nitakustua tu
Ninaitaka kama hiyo mkuuHii ishatoka boss
Nicheki 0658124554Ninaitaka kama hiyo mkuu
Ni yangu ila airtel wameanza kunisumbua kua wataifungia ..Naona ni vizuri zaidi uhifadhi hii 0658124554Master una namba mbili? kuna hii +255 689 699 704.....ni yako? wengine tunahifadhi namba kwa matumizi ya sasa na baadae.