Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Ni wazo zuri lifanyie kazi biashara ni kotekote mkuu
Ni kweli mkuu inabidi tukabe kila pembe, usijali kabisa kuhusu hili time ikifika hatutakua na namna zaidi ya kufanya hivyo,kwa sasa naomba ushirikiano wako na wana jf wengine tukuze family ya wapenzi wa magari mazuri.
 
Mkuu mimi nina swali la kizushi. Hivi ni kweli hili gari huo mwaka 1998 lilikuwa limetengenezwa???

Au ni just tuu iyo model ilikuwa discoverd mwaka huo 1998.
Maana nakua siamini kuona hili gari lina miaka 20 sasa.

Nipe concept
Ukipata jibu nishtue na mm...

Nilishangaa pia kuna Noah za 2003
 
Mkuu mimi nina swali la kizushi. Hivi ni kweli hili gari huo mwaka 1998 lilikuwa limetengenezwa???

Au ni just tuu iyo model ilikuwa discoverd mwaka huo 1998.
Maana nakua siamini kuona hili gari lina miaka 20 sasa.

Nipe concept
Mwenyewe pia linanipiga chenga hili suala imebidi nimuulize mwana jf mwenzetu Maui PRONDO nae amejibu kama ifuatavyo.
“It is possible. Mfano kuna Bmw 3 series, kitaalam zinaitwa E46 zimeanza kutengenezwa 1998 zikaendelea hadi 2005.Au volvo xc90 zimeanza 2002 mpaka 2009”.
Kwa concept hiyo natumai umepata mwangaza mkuu, kwamba inawezekana model 1998 lakini ikaendelea kutengenezwa kwa miaka inayofuata.
 
Sawa mkuu
 
Hii Harrier nahisi itakuwa mali yangu muda si mrefu kama haijauzwa...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…