Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Unataka ya sh ngapiHii haijakaa poa sana alafu bei imesimama sana
7.5Unataka ya sh ngapi
Noah sr40Nioatie Noah rangi yeyite
Nipigie au nitumie ujumbe whatsapp nikupe picha 0658124554
Chuma chakavusoon na mie nitamiliki chuma kwa uweza wa MUNGU
Gari la ndoto yanguWeka landrover discovery
Land rover discovery linanitoaga roho jmn,khaaSina hizo gari mkuu
Subiri nikuwekee hapaGari la ndoto yangu
Yani nikilionaga hilo gari natamani miujiza itendeke ghafla nipate pesa nilinunueSubiri nikuwekee hapa
Nipigie 0658124554Gx100
Nimempa namba mtu Flani atakucheki mkuu, # biashara ya wote asiyeweza kuingia humu tunampa pichaNipigie 0658124554
Sawa mkuuNimempa namba mtu Flani atakucheki mkuu, # biashara ya wote asiyeweza kuingia humu tunampa picha
LandRover Discovery 3Yani nikilionaga hilo gari natamani miujiza itendeke ghafla nipate pesa nilinunue
.ukishaliweka nitag