harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Kula 8 tufanye biasharaToyota Ist
Mwaka:2005
1290CC
Bei: Milioni 9.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 962852View attachment 962853View attachment 962854View attachment 962855View attachment 962856
8 haina maslahiKula 8 tufanye biashara
Mkuu,8 haina maslahi
Gari ni ya mwaka wa juu ,njoo ukague gari tuzungumze beiMkuu,
Hiyo bei ni kubwa mno kwa Code DEC.
9 na point ni ndefu mno.
BTW,KILA LA KHERI
Ni kweli nmeona ni 2005??Gari ni ya mwaka wa juu ,njoo ukague gari tuzungumze bei
Ndio mkuu ni 2005Ni kweli nmeona ni 2005??
hizi gari zina uwezo wa kupig masafa ya Arusha Dar?Suzuki swift
Mwaka:2000
1430CC
79000km
Bei: Milioni 6.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 964299View attachment 964300View attachment 964301View attachment 964302View attachment 964303
Inafika mkuu bila shidahizi gari zina uwezo wa kupig masafa ya Arusha Dar?
Crown Athletes
Mwaka:2004/2005
Bei: Milioni 14
Mawasiliano:0658124554View attachment 933146View attachment 933147View attachment 933148View attachment 933149
Crown Athletes namba C sina mkuu wanguMkuu namba C bei zake zipoje?
Uzi mtamu Mkuu..Nipo kenya nahitajCrown Athletes namba C sina mkuu wangu
Hizo gari kwa huku kwetu ni ngumu sana kupata labda uagize ishukie huku TzUzi mtamu Mkuu..Nipo kenya nahitaj
mitsubishi Lancer Evo 9 -sports ila siwezi import sababu ya sheria za kenya (Max 7yrs old) unaweza kuwa nayo dar?