@Master of the Game Rectus ikikuwa ndio inakuwa KlugerToyota Kluger
Mwaka:2005
1490CC
85000km
Bei: Milioni :8.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 966938View attachment 966939View attachment 966940View attachment 966941View attachment 966942
Aisee nimejichanganya naona juu ya Ractis nimepost Kluger sasa nimekariri@Master of the Game Rectus ikikuwa ndio inakuwa Kluger
Toyota Rush ipo hii milioni 14.5Mkuu mimi natafuta Toyota Rush namba D..
Nashukuru nitarudi kwako mkuu
Sawa boss ntakuwekea muda simrefuMkuu kama una Toyota Fortuner naomba pia niione na taarifa zake...
Hivi kwanini hizi gari zina bei KUBWA sana
hapo kwenye fortuner tuko wengiSawa boss ntakuwekea muda simrefu
Toyota FortunerMkuu kama una Toyota Fortuner naomba pia niione na taarifa zake...