Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Asante sana mkuu kwa kunikubali...
Nataka hii mkuu, bei inapungua?Toyota Alphard
4 cylinder
Bei: Milioni 10.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 1000298View attachment 1000299View attachment 1000300
Sent using Jamii Forums mobile app
Master of the game,nina shida na Harrier ya mwaka kati ya 1999 mpaka 2002. Iwe na engine kubwa zaidi(1MZ-cc2994, VVTI) au kubwa wastani engine (2AZ-cc2400)!Asante sana mkuu kwa kunikubali...
Jifue mkuu ukiwa tayari nitaarifu nikupe gari kali
Sent using Jamii Forums mobile app
Harrier hii hapa mkuuMaster of the game,nina shida na Harrier ya mwaka kati ya 1999 mpaka 2002. Iwe na engine kubwa zaidi(1MZ-cc2994, VVTI) au kubwa wastani engine (2AZ-cc2400)!
Iwe na namba D za katikati. Iwe katika hali nzuri. Offer maximum 12-13.5m/-
Sent using Jamii Forums mobile app
1MZ 2994CC hii hapa inatakiwa milioni 12Master of the game,nina shida na Harrier ya mwaka kati ya 1999 mpaka 2002. Iwe na engine kubwa zaidi(1MZ-cc2994, VVTI) au kubwa wastani engine (2AZ-cc2400)!
Iwe na namba D za katikati. Iwe katika hali nzuri. Offer maximum 12-13.5m/-
Sent using Jamii Forums mobile app
....unapenda kuziona au kununua !?Weka rambogini apoo...+Land lover discovery 5 ahhh nazpenda sana hizi gari