Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Hahaha hii ya mmiliki hii ilileta shida watu wakasema ni ubaguzi .Master of the game usisahau kuweka location ya chombo kilipo pia na mmiliki na Mwanamke au Mwanaume
Ah ya nin yote hao anachokifanya ni sahihi kabisa mmiliki wa nin sasa au unatafuta gari lako humu..Master of the game usisahau kuweka location ya chombo kilipo pia na mmiliki na Mwanamke au Mwanaume
Hapana gari ikiwa inamilikiwa na mwanamke inakua imetunzwa vizuri ila ikiwa ya wanaume sio wote misele ni mingi ,ila hata wahindi wanatunza gariAh ya nin yote hao anachokifanya ni sahihi kabisa mmiliki wa nin sasa au unatafuta gari lako humu..
Kuna DM mkalijenge huko
Picha hazitoshi katika hii chomboSuzuki swift
Gari safi sana
Bei: Milioni 5.7
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1044034View attachment 1044035View attachment 1044036
Sent using Jamii Forums mobile app
Toyota Carina Ti
1490CC
Bei: Milioni 7.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1043841View attachment 1043839View attachment 1043838View attachment 1043840View attachment 1043842
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuuHiyo picha ya mwisho inayoonesha sterling nadhani umechanganya mkuu hiyo sio Carina..
Natafuta Landrover Defender hata kama haitembei lakini ipo kwenye hali nzuri.
Toyota Premio
Mwaka:2005
1700CC
Bei: Milioni 10.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1041213View attachment 1041214View attachment 1041215View attachment 1041216View attachment 1041218View attachment 1041219
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeuzwa tayari mkuu lakini ninazo nyengine kwa bei nzuri tu nipigie tafadhali 0658124554Mkuu, nikitaka kuiona hii nikague, naionaje?
Sent from my iPhone using JamiiForums