Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
nauza gari yangu aina ya subaru legacy kwa 10.5m tu,sababu ya kuiuza ni kupata gari nyingne mpya gari hii haina hata miezi 6 toka niagize kutoka japan,gari ni mpya kabisa toka japan ni kuwasha na kuondoka full documents inazo kwa muhitaji hizi ndo no zangu 0659756647


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu hii chombo ni ya ukweli sana,

Maendeleo hayana chama
 
BMW X3
Mwaka:2005
2500CC
88000km
Bei: Milioni 25
Mawasiliano:0658124554View attachment 994878View attachment 994881View attachment 994882

Sent using Jamii Forums mobile app
S
Nishamuomba muhusika anipe picha zaidi,nitakuwekea hapa nikizipata

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…