Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Mkuu ninayo Vitz Rs km 126242Mkuu nitafutie vits clavia namba D km chini ya laki tufanye biashara
Bei gani kama hii mkuu??Surf ya 2004 hii hapa View attachment 633035View attachment 633036
Milioni 26,mkuuBei gani kama hii mkuu??
Safi sana, ngoja nijikusanye mkuuMilioni 26,mkuu
Karibu sanaSafi sana, ngoja nijikusanye mkuu
Gari ipi unaulizia bossImetembea hizo kilometers Bongo au Ulaya?
Mkuu hii opa ipo?
Opa imeuzwa mkuuMkuu hii opa ipo?
Hii hapa njoo uichukue chap chap, ya mwaka 2000,97000km,bei 12.5M,nivutie waya chap kwa namba hii 0689699704Mkuu nataka Noah namba D chap chap