Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Kuanzia Milioni 12 bossBoss, Voltz No. D inawezakupatikana kwa bei ngap?
IshatokaMkuu bado hipo hiyo gari, seat ngapi?
Funcargo kuanzia Milioni 6 unapata nzuri,nicheki 0658124554Uzi umelala Sana siku hizi
Mkuu master of the game
Fun cargo ya 2003 iliyo kwenye Hali nzuri kabisa
Itapatikana kwa Bei gani?
Funcargo kuanzia Milioni 6 unapata nzuri,nicheki 0658124554
Ninayo mkuu kwa 6.5mSioni gari ya moyo wangu Suzuki escudo Hellyhansen.Mkuu nidokezee
Namba gani mkuu?? Unaweza weka details zake kwa ufupNinayo mkuu kwa 6.5m
Toyota Brevis
Mwaka :2002
2500CC
Bei: Milioni 8.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1093079View attachment 1093080View attachment 1093081View attachment 1093082View attachment 1093083
Habari kaka,Vits no B inaweza kupatikana.Na bajeti niandae ngapi?Toyota Vits
Old model
990CC
Bei: Milioni 5.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1126267
Hapa anauza hafanyi maonyesho !Weka rambogini apoo...+Land lover discovery 5 ahhh nazpenda sana hizi gari
Wacha upuuzi, nani alikuahidi gari !?Yamekidhi,lakini siyo mazuri,tunayatumia tuu kuuzia sura maana hatuna namna.
By the way nyie nunueni tu mie mwenzuni nasubiria ya kwangu zile tulizoahidiwa na mtukufu mkuu!
Hapa anauza hafanyi maonyesho !