Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Sema Insha'Allah !Yah na Mimi nataka kununua, kma sio Leo kesho !
Sema Insha'Allah !
Ukipata mhindi anauza ist namba D, nitafute mkuu.Nissan Xtrail
Mwaka:2003
1980CC
Bei: Milioni 8.8
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1127990View attachment 1127992View attachment 1127994View attachment 1127993
Hii gar haina tatizo lolote?Nissan Xtrail
Mwaka:2003
1980CC
Bei: Milioni 8.8
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1127990View attachment 1127992View attachment 1127994View attachment 1127993
Ukipata mhindi anauza ist namba D, nitafute mkuu.
Hii gar haina tatizo lolote?
Hii gar haina tatizo lolote?
Daaaaaa tafuta nyingineHaina tatizo mkuu ila ishauzwa
bado siku 13 tu kuingia july mkuu 😀 😀 😀Yeah kichange mwanetu, mi wa mwezi wa 7 ndio ntavuta chombo bado najaza kibubu
mamamamaaaeeeee huyo kweli faru john dooh🙌View attachment 1090441Sh ngapi huyu mnyama?
Daaaaaa tafuta nyingine
Toyota crown Athletes
2490CC
62000km
Bei: Milioni 13
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1129935View attachment 1129937View attachment 1129938
Volvo S60 plate D unayo?