Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mark 11 Grande Gx110
Mwaka:2002
1980CC
Bei: Milioni 6.9
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza,wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
 
Dah vyuma kukaza ni kitu kibaya sana.
Kuna gari nzuri nimeziona hadi nimetamani yaani.
 
Toyota Alteza
4 cylinder
Bei: Million 7.7
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza,wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako.
 
Toyota Passo
Mwaka:2003
990CC
Sports rims
New tyres
No Dent
Bei: Milioni 5.3
Mawasiliano:0658124554
 
Mkuu nilishakuulizaga kitambo ki-starlet glanza kanapatikana kwa bei gani hujanijibu
 
Grande mark 11
Mwaka:2002
1980CC
94800km
Bei: Milioni 9.2
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…