Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Hahaha fahari ya macho mkuuSijaona gari yangu pendwa landrover discovery
Tuwekee hata moja na bei yake elekezi.
NB: sina hela ya gari mimi lkn bado naitafuta
Ndio mkuu tufurahishe macho yetu huku tukiamini one day yes.......Hahaha fahari ya macho mkuu
Subiri uvune kwanza alizetiNdio mkuu tufurahishe macho yetu huku tukiamini one day yes.......
Sijaona gari yangu pendwa landrover discovery
Tuwekee hata moja na bei yake elekezi.
NB: sina hela ya gari mimi lkn bado naitafuta
Mkuu yaani hapo chapu tu naichukua. Nitakupa mrejeshoSubiri uvune kwanza alizeti
Mkuu nna passo piston 4 number DPH nataka mteja
NotedMkuu yaani hapo chapu tu naichukua. Nitakupa mrejesho
RaV4 Killitime
1780CC
Vvti
Bei: Milioni 7.7
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1179832View attachment 1179833View attachment 1179834View attachment 1179835View attachment 1179837
Haha kweli maana Pesa inatafutwa na Gari zipo tu soon tutakuwa na viyuNdio mkuu tufurahishe macho yetu huku tukiamini one day yes.......