Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
mkuu jeep cherokee sport ni bei gani
mkuu nina jeep model ni jeep cherokee sport ya 2003 imenunuliwa 2012 na haijatembea sana ni namba B.Sokoni naweza pata mteja kwa milioni 28.Ilikuwepo moja ya mwaka wa juu 2010 na kitu iliuzwa dola 30000
mkuu nina jeep model ni jeep cherokee sport ya 2003 imenunuliwa 2012 na haijatembea sana ni namba B.Sokoni naweza pata mteja kwa milioni 28.
vipi costa nzuri inawezapatikana kwa bei gani
Asanteee Hakuna tupicha twa kwenye injini hapo??
Asanteee Hakuna tupicha twa kwenye injini hapo??
Hakuna mwenye mkoko mkali kama huu wa kwangu hapa town![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1247220