Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Mzee baba kuna M3 cash hapa siwezi kupata kastarlet kakuzugia kitaani kurahisisha visafari vya town...Toyota Porte namba D kwa 7M mawasiliano 0689699704View attachment 638080View attachment 638081View attachment 638082View attachment 638083View attachment 638084View attachment 638085
Unaumwa wewe soma uzi woteUmenifurahisha, wapenzi wa magari mazuri, kuna gari hapo?
Kiongoz bado ipo hii na kama bado ipo haipungui?Ist namba C, 1290CC,bei 7.3M,ipo Dar, contact 0689699704View attachment 636537View attachment 636539View attachment 636540View attachment 636542View attachment 636543View attachment 636544
Asante mkuu, ni wazo zuri na lipo kwenye plan zangu, kama utaweza kunipatia kitu chenye ubora tutafanya mkuuKWANINI USIWE NA WEBSITE YAKO YA KUTANGAZIA MAGARI YAKO..KATIKA MUONEKANO BORA ZAIDI NA KUWEKA PICHA NYINGI ZAIDI.....KAMA Anayehitaji website ya kuuza na kununua inayofanya kazi kama kupatana.com NICHEKI NIKUTENGENEZEE WEBSITE YAKO KWA GHARAMA NAFUU SANA
Kiongozi imeuzwa tayari ila ipo namba C silver nzuri, ni vizuri tukiwasiliana 0689699704 nicheki hata WhatsAppKiongoz bado ipo hii na kama bado ipo haipungui?
Usione kimya mzee baba bado nakuangaliziaMzee baba kuna M3 cash hapa siwezi kupata kastarlet kakuzugia kitaani kurahisisha visafari vya town...
Wea keni wi faindi yu? Puti ua contacti hia...KWANINI USIWE NA WEBSITE YAKO YA KUTANGAZIA MAGARI YAKO..KATIKA MUONEKANO BORA ZAIDI NA KUWEKA PICHA NYINGI ZAIDI.....KAMA Anayehitaji website ya kuuza na kununua inayofanya kazi kama kupatana.com NICHEKI NIKUTENGENEZEE WEBSITE YAKO KWA GHARAMA NAFUU SANA
Hii steering ya toyota crown co ist
Samahani mkuu sio kusudio picha zimejichanganyaHii steering ya toyota crown co ist
Hii ngoma ni hatari hakuna interior picture mkuuBmw 7 series
2007 model
Leather seat and rear camera
Price :25M
Contact :0689699704View attachment 637703View attachment 637704
Sina interior picture mkuu ,kwanini usije kuikagua tu kabisaHii ngoma ni hatari hakuna interior picture mkuu
Gari zipo kwenye location tofauti lakini Zipo Dar zoteUnapatikana wapi