Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Mkuu naweza kupata townace truck nzuri kwa 8m?
Watu wa Dar wanajua sana kucheza na mileage za magari.Kuna vitu vinasikitisha sana gari ya mwaka 1999 ila ina mileage 57000k saa cjui ilikuwa ime park ndani miaka yote. (2017-1999=18). (57000/18=?) .
Good car