Car dealer
Member
- Oct 27, 2019
- 12
- 14
mbona hata bei sijaweka hio bei kubwa umeipata wapi au umeamua Kucomment ruMbona bei kubwa sana au we dalali
Ndio uweke sasa unapotezea watu muda bure hapambona hata bei sijaweka hio bei kubwa umeipata wapi au umeamua Kucomment ru
Mi nnahitaji Premio kali nna milion 8
Old au new model
New bwana jamaa, old vp tena bwana
Yakutafuta sana kwa budget hiyo,nikiipata nitakujulisha
Kwani zina range ngapi na kuagiza ngapi