Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu ile rav4 ya mil 5.7.. Cc ni ngapi na imeenda km ngap..
 
Tukiagiza inasoma kiasi gani hadi kuitoa bandarini
Mkuu samahani kwa kuchelewa lakini naomba unisaidie hili, unataka model ya mwaka gani na upande wa budget umejipangaje? nauliza hivyo sababu nimearifiwa hata kwenye stock yetu ya Japan hamna kwahyo inabidi ifanyike kazi ya ziada kuhakikisha inapatikana
 
Tukiagiza inasoma kiasi gani hadi kuitoa bandarini
Mkuu samahani kwa kuchelewa lakini naomba unisaidie hili, unataka model ya mwaka gani na upande wa budget umejipangaje? nauliza hivyo sababu nimearifiwa hata kwenye stock yetu ya Japan hamna kwahyo inabidi ifanyike kazi ya ziada kuhakikisha inapatikana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…