Mkuu tupia picha zao na bei zake tujipimie mimi pia naipenda hiyo gari
Toyota Ist mwaka 2006
engine capacity cc 1490
low mileage km 66,000
blue color
music system with DVD player
Bei :ml 10.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1301138View attachment 1301139View attachment 1301140View attachment 1301141
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna 8M kwenye hii gari....... Haina logo logo sema nije kulipia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa 6ml?Make :audi
Model :A3
Year :2006
Original: Germany
Engine model :FSI
engine capacity :2000cc
Speed :260
Condition :very good
Bei: Milioni 7.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1305490View attachment 1305491View attachment 1305494View attachment 1305496
Sent using Jamii Forums mobile app