Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Mkuu unaweza kupata picha zinazoionesha vizuri hii Probox? Afu siku hizi hutoi details vizuri huweki gari ina km ngapi,picha ndio kama hivo hazioneshi gari maeneo yote pamoja na ndani na engine pia. Huelezi kama gari ina changamoto yoyote ama iko kwenye good condition,nashauri kabla hujapost gari pata details za kutosha,biashara huanzia kwenye kuona usinijibu nikupigie kwa maelezo zaidi tafadhali. Kupiga ni baada ya hayo mengine kuwa sawa mkuu.Toyota Probox
1490CC
Bei: Milioni 7.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1315505View attachment 1315506
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kupata picha zinazoionesha vizuri hii Probox? Afu siku hizi hutoi details vizuri huweki gari ina km ngapi,picha ndio kama hivo hazioneshi gari maeneo yote pamoja na ndani na engine pia. Huelezi kama gari ina changamoto yoyote ama iko kwenye good condition,nashauri kabla hujapost gari pata details za kutosha,biashara huanzia kwenye kuona usinijibu nikupigie kwa maelezo zaidi tafadhali. Kupiga ni baada ya hayo mengine kuwa sawa mkuu.

Mkuu nilipanga nikaipige picha jana jioni pamoja na kuchukua hizo details zengine ila kwa bahati jana jioni hiyo hiyo kuna mtu kailipia
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah Master of the game umeniangusha mkuu, anyway ukipata Probox kwenye hizi siku mbili tatu kama itakuwa bado sijabahatisha tuchekiane.
Sent using Jamii Forums mobile app