golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Sawa mkuu naifanyia kaziPREMIO NEW MODEL, NAMBA C INAHITAJIKA, ISIWE NYEUPE, BAJETI 8M
Karibu sana mkuuWow nice I like wired &unique things
Asante sana mkuuMkuu me hongera kwa majibu mazuri kila wanafiki wakija na hoja za kukutoa kwenye reli una wajibu kistarabu wana potea
Hii ipo Dar tayariVoltz hadi mkononi bei gani
milleage ikoje vip huna rangi nyeusiHii ipo Dar tayari
Ni ya mwaka 2003/04
2.0CC
Unaipata kwa 13.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 660258View attachment 660259View attachment 660260
Mileage ni chini ya km elfu sitini.milleage ikoje vip huna rangi nyeusi
ok weka mawasiliano tuongee vizuriMileage ni chini ya km elfu sitini.
Zipo black na grey mkuu
Haya hapa mkuu, 0689699704ok weka mawasiliano tuongee vizuri
Je BMW min Cooper inapatikana?? Kama ipo na bei yake ni ipi? Pia utupie na picha yake