Wiki nne tangu isajiliwe inauzwa kwa 8.7M
Mawasiliano :0689699704View attachment 662364View attachment 662365View attachment 662366View attachment 662367View attachment 662368View attachment 662370
Imeuzwa tayari mkuuHii imetembea KL ngapi?
Na Ina cc ngapi?
Mkuu
Toyota Vanguard zipo ambazo hazijatumika bongo, unataka rangi ganiMkuu toyota vanguard
Zipo ambazo tayari zishaagizwa na itakugharimu 11.5M mpaka usajiliNahitaji kununua probox succeed je nikiagiza hadi kuitia mkononi itanigharim sh ngapi?
Zipo mkuuMkuu toyota vanguard
Rangi yoyote mkuu. Ila yenye km chache. Toa na specification nyingine kama na picha zipo itapendeza zaidiToyota Vanguard zipo ambazo hazijatumika bongo, unataka rangi gani
Hii hapa ni ya mwaka 2009,imetembea km50000 ,2400CCRangi yoyote mkuu. Ila yenye km chache. Toa na specification nyingine kama na picha zipo itapendeza zaidi
Hii hapaNahitaji kununua probox succeed je nikiagiza hadi kuitia mkononi itanigharim sh ngapi?
Ndio mkuu nahitaji hii gari ikiwa manual itapendeza zaidiHii hapa View attachment 663454
Tupo na automatic mkuuNdio mkuu nahitaji hii gari ikiwa manual itapendeza zaidi
Same to me, nilijua nitaona magari kumbe Kuna usafiri tu!basi mie nimekuja kwa kasi nikifikiria kuna magari yenye sifa ya kichwa cha habari kumbe ya kawaida!