Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Mkuu umeamua kuuza ndinga ya LuluToyota Camry
mwaka :2007
Injini :4 cylinder, VVti
Bei :15M
Mawasiliano :0689699704View attachment 663279View attachment 663280View attachment 663281View attachment 663282View attachment 663283View attachment 663284
Ni ya lulu?sikujua kama ni yake lakini ipo sokoniMkuu umeamua kuuza ndinga ya Lulu
Hhaaa nimetania mkuu ila anayo ndinga kama hiiNi ya lulu?sikujua kama ni yake lakini ipo sokoni
Kwa mungu halishindikani hiloMzee baba naamini kwa uwezo wa Mungu hii gari land Rover Discover 4 ntaimiliki, nadhani kwangu ndio bora zaidi
Amejitahidi basi kama ni kweliHhaaa nimetania mkuu ila anayo ndinga kama hii
Hii kitu imetuliaLand Rover Discover 4View attachment 663701
Uko kama Mimi,najaribu kuzichanga hapa ili mwezi machi nione kama nitavuta moja.Nayapenda haya magari,wee acha tu.Toyota Prado ndio gari ya ndoto yangu, one day yes.
Gari nzur ila utakosa wateja sababu ya sterlingToyota Prado 3 doors
2934CC
100000km
Left drive
Bei :23.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 664302View attachment 664303View attachment 664304View attachment 664305