Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
[emoji39]Toyota Ist
Mwaka :2007
1490CC
49000km
Bei :17M
Mawasiliano :0689699704View attachment 683609View attachment 683610View attachment 683611View attachment 683612View attachment 683613
Weeeh ! Ist 17m !?Toyota Ist
Mwaka :2007
1490CC
49000km
Bei :17M
Mawasiliano :0689699704View attachment 683609View attachment 683610View attachment 683611View attachment 683612View attachment 683613
Nimeiangalia hiyo gari kwa picha,yeah ni IST New Model(kwa maana hiyo kwa Tanzania). Hata hivyo bei ni nafuu hiyo.Weeeh ! Ist 17m !?
Me mwenyewe nimeshangaaWeeeh ! Ist 17m !?
Ngoja tuisubiri ipoe !Nimeiangalia hiyo gari kwa picha,yeah ni IST New Model(kwa maana hiyo kwa Tanzania). Hata hivyo bei ni nafuu hiyo.
Ist new model[emoji39]
Umeshtuka mpaka umenishtua, bila shaka umepata jibu maridhawaWeeeh ! Ist 17m !?
Asante sana mkuu CHAZA kwa ufafanuziNimeiangalia hiyo gari kwa picha,yeah ni IST New Model(kwa maana hiyo kwa Tanzania). Hata hivyo bei ni nafuu hiyo.
Ni Ist new model mkuu usishangae tenaMe mwenyewe nimeshangaa