Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu nimetafta sana Subaru Impreza wagon/hatchbak kwenye uzi wako yakuanzia kuanzia 2007 kuendelea sijaona, Ebu nipe bei naona kama inavutia. Niko njiapanda kati ya hiyo impreza na crown athlete. Ushauri pia ni mzuri nataka safari za mjini lakin mwisho wa mwaka safari ndefu mkoa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…