Toyota Alteza 4cylinder
Bei :5.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 659729View attachment 659730View attachment 659731View attachment 659732View attachment 659733
5.5M top mkuuVp kaka,nikija na 4ml,utanipokea?
Imeuzwa mkuuHii bado ipo mkuuu
Mkuu hii tsh ngapi?Landcruiser Vx
Mwaka:1992
Diesel
Automatic
Mawasiliano :0689699704View attachment 695938View attachment 695939View attachment 695940View attachment 695941View attachment 695942
Nakupa mrejesho whatsappVp mteja wako wa ile rav4 kilitime....gari ipo Bdo
Mwenyewe anakomaa 15m
Sema gari iko vzuri ndomana anakaza
Ova
12M mkuu, samahani nimeghafilika kuweka beiMkuu hii tsh ngapi?
Sawa sawa mkuu, mungu akufanyie wepesinimeipenda pia mac x,lakini hadi niuze ufuta na biashara nayo ya ufuta imesimama nikifanikiwa tutawasiliana
Sawa chief,ngoja nijipange kufikisha hiyo hela na niwahi hiyo gari,maana ni gari la ndoto yangu!!5.5M top mkuu
Mungu akutangulieSawa chief,ngoja nijipange kufikisha hiyo hela na niwahi hiyo gari,maana ni gari la ndoto yangu!!
Unataka mkuuipo subaru forester cc 2000 km 80,000 -90,000 namba d offer ni tsh 6m-8m
ndio mkuu iwe safiUnataka mkuu
isha uzwaa hii?