Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Ford, wametoa Explorer EV ambayo ni SUV yenye siti 5.
Kwa kutumia MEB EV platformya Volkswagen, hii SUV ina uwezo wa kuchajiwa kutoka 10% hadi 80% kwa dakika 25 tu.
Kwa single charge, inaweza kutembea kilometa 600, na inapatikana kwa option ya either single motor RWD au motor mbili AWD.
Explorer itakua na battery ya 77kWh au 79kWh, na itakua na 339hp.
Bei ya kuanzia ni $58,000 tu.