Ebhana hii combo ni hatari......... tutafute hela tu za kuwalipia hao madizaina wa marekani na mainjinia wa ujerumaniUnaambiwa American Design + Germany Engineering
Ford sio mambo yangu ila uwa nazitamani kuziona.Mad Max hebu weka neno lako kwenye Ford Ranger Wildtrak ya 2020/2021. Vipi mafundi wetu Tz wanazimudu? Vipi kususu durability yake?
Kingine kwa nini FR Raptor ni pesa mingi ukilinganisha na Wildtrak? Ukiangalia calculator ya TRA utaishiwa hamu ya kuagiza gari aiseee….
Tuendelee kujifunza mkuu.