Dona wa baba...
Member
- Dec 19, 2013
- 35
- 26
- Thread starter
-
- #21
Hahahaha ni kweli ila kwa mbwa wa namna yoyote hata kama ni huyu mfugie nje ili pia afanye kazi yake ya ulinziVijibwa hivyo vijakua na utani mwingi, ukimfuga ndani anaweza kukojoa san
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado wawili wa sunnaHahahah uchukue jiko marangapi boss wangu maana naamini ile idadi ushaimaliza (joke)
Sent using Jamii Forums mobile app
Vaa miwani mkuu umuone vizuriAisee kumbe mbwa, mi uku naona ni mdori wa mbwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
DuuuuhNasikia wadada wa mjini huwa wanavitumikisha kwa kazi maalumu.
Huyo ni jike boss na ukiwa naye akifika kipindi cha joto lake twawasiliana tu wamleta anapandwa kukuongezea uzao
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijibwa hivyo vijakua na utani mwingi, ukimfuga ndani anaweza kukojoa san
Sent using Jamii Forums mobile app
.Breed: Maltese
Bei/price: 300,000
Vaccine:Yes [emoji818]
Age: 2 months
Location: Dar es salaam
Contacts: call/whatsup 0719708708View attachment 1343777
Sent using Jamii Forums mobile app