Wapenzi wa mieleka WWE

G_real

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
684
Reaction score
855
habari za saizi wakuu
mi ni mfwatiliaji wa mieleka na nimeanza kufwatilia baada ya kushawishiwa na jamaa yangu
zamani nilikuaga sielewi nilikua naona wanaigiza tu lakini nilivyo fwatilia na kuijua vizuri ndo nikaanza kuona raha yake kiukweli ni mchezo mmoja mzuri saaana sijutii mda wangu ninao utumia kuangalia
nawawakubali watu wanne tu
1-seth Rollin
2-koffi kingsotn
3-big dog roman
4-strowman
kwa upande wako unamkubali nani?
 
Ricochet,
Seth rolins.
Roman reign.
Rey mastrio.
 
1. Kofi Kingston aka mzee wa new days.
2. Roman reigns.

Hawa New days waliplay bonge moja la game kumpeleka Kingston kwenye wrestler mania. Kingston nusu aikose ile nafasi kwa figisu figisu. Brayn Daniel akabakia ameduwaa tu.
 
Kipindi nacheki cheki huo mchezo kuna mzee mmoja alikuwa na style ya kutandika teke maeneo ya kichwani likikukuta kamaliza mchezo hivi bado yupo?jina limenitoka
 
Kipindi nacheki cheki huo mchezo kuna mzee mmoja alikuwa na style ya kutandika teke maeneo ya kichwani likikukuta kamaliza mchezo hivi bado yupo?jina limenitoka
Utakua una msema Great Kali kama sikosei sijamuona siku nyingi......
 
Kuna zile game za #10MenGang kama ya jana ilikua ni moto. Aisee nahisi nishaanza kuwa mlevi wa hii kitu. Nikitoka job nikifika gheto cha kwanza ni channel 128.
 
Kuna zile game za #10MenGang kama ya jana ilikua ni moto. Aisee nahisi nishaanza kuwa mlevi wa hii kitu. Nikitoka job nikifika gheto cha kwanza ni channel 128.
mze hata mimi
 
Roman namkubali sana.

Ila Brock lesnar akisikia burn it doooown lazima akimbie.
Seth freaking lolins ni habari nyingine aisee.
 
Roman namkubali sana.
Ila Brock lesnar akisikia burn it doooown lazima akimbie.
Seth freaking lolins ni habari nyingine aisee.
mzee iv lile jamaa linapigwaje na seth nashangaag saana
 
CLASH OF THE CHAMPIONS USIKU MNENE KUELEKEA KESHO JUMATATU, KIMSINGI ITAANZA 16/09 JUMATATU KWA MASAA YA KWETU TISA USIKU.

Seth Rollens vs Brawnstrawman
Universal Championship

Randy Orton vs Kofi Kingston
wwe heavy championship
 
Burning it Down ndio iliyofanya kazi,
Pili ni ujanja wa Seth kuzikwepa Suplex
ahaa kuna ile game imepigwa ilikua kali kinoma walikua the viking,alexander,seth,strowman kuna yule bonge wa viking ni mwepesi kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…