zabron k JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 943 Reaction score 1,107 Dec 1, 2019 #1 Habari ya leo, Humu ndani kuna mada mbalimbali za mipira, siasa, mapenzi, utani na nk. Bahati mbaya sisi wapenzi wa mieleka kutoka kona za dunia hii hatuna jukwaa letu. Naomba tukutane hapa kupeana maujuzi na vimbwanga vya wababe unaowafahamu.
Habari ya leo, Humu ndani kuna mada mbalimbali za mipira, siasa, mapenzi, utani na nk. Bahati mbaya sisi wapenzi wa mieleka kutoka kona za dunia hii hatuna jukwaa letu. Naomba tukutane hapa kupeana maujuzi na vimbwanga vya wababe unaowafahamu.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 35,812 Reaction score 107,628 Dec 1, 2019 #2 Ricochet the magnificent
zabron k JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 943 Reaction score 1,107 Dec 1, 2019 Thread starter #3 Da'Vinci said: Ricochet the magnificent Click to expand... Wababe kama Sting, Goldberg bila kusahau kundi lililokuwa linaitwa "nwo"
Da'Vinci said: Ricochet the magnificent Click to expand... Wababe kama Sting, Goldberg bila kusahau kundi lililokuwa linaitwa "nwo"