Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kila kitu Mkuu. Inception, Interstellar, Arrival na Tenet huwa sichoki kuzitazama. Maana kila ninapotazama kwa mara nyingine nagundua kitu kipya.Ndugu fredyyboy
Interstellar, huu mzigo wa 2014 kutoka kwa Director Christopher Nolan, ni moja ya movie kali sana, nilizowahi kutazama.
View attachment 2435023
Inception, huu mzigo wa 2010 kutoka kwa Christopher Nolan, nao ni balaa sana. Kiufupi tu huyu jamaa anajua kuandaa filamu.
View attachment 2435024
Oblivion, 2013.
View attachment 2435025
Looper, 2012.
View attachment 2435026
Arrival, 2016.
View attachment 2435027
Tenet, 2020.
View attachment 2435028
Dues ilinchekesha sana Yani watu walitaka wapunguze watu wanaohamini kinyakuliwa siku ya mwishoDEUS
hamnaMkuu Kuna movie imetulia kuzidi moonfall kwa 2022?
Hiyo movie huwezi kuelewa bila kugoogle, na penyewe unaweza usielewe.Nimeiona TENET hapo juu, hiyo movie inabidi uwe na ubungo kamili na nusu kuielewa...in short Christopher Nolan movie zake siyo za kitoto
Christopher Nolan anapenda watu waumize vichwa kwa kweli. Mwanzoni Interstellar ilikuwa ngumu kueleweka ikabidi kiandikwe na kitabu kuielezea.Hiyo movie huwezi kuelewa bila kugoogle, na penyewe unaweza usielewe.
Aisee christopher nolan huwa anajua sana interstellar na inception zile movie alikaa chini akatualia nazipa 10/10.Ndugu fredyyboy
Interstellar, huu mzigo wa 2014 kutoka kwa Director Christopher Nolan, ni moja ya movie kali sana, nilizowahi kutazama.
View attachment 2435023
Inception, huu mzigo wa 2010 kutoka kwa Christopher Nolan, nao ni balaa sana. Kiufupi tu huyu jamaa anajua kuandaa filamu.
View attachment 2435024
Oblivion, 2013.
View attachment 2435025
Looper, 2012.
View attachment 2435026
Arrival, 2016.
View attachment 2435027
Tenet, 2020.
View attachment 2435028
The tomorrow war ni noma.Nimekuwa mlevi wa movie za Aina hii Science) kama vile space movie nazikubali sana
Bila shaka sipo mwenyewe dondosha movie lako Kali la Aina hii hapa.View attachment 2434080View attachment 2434081