Anime sio wenda wanawazidi hollywood. Anime nyumbani kwao ni Japan. Dunia inaenda kutalii Japan kuona anime life wao hapa Japan wanaziita “Manga”
Wazungu wanakuja kushangaa anime in reality mitaani
Yani kwa ufupi gen z Japan wanavaa na kua act kama anime mpk life style unapita tokyo unajiulize hee ni macho yangu au?😁 mpk kuongea anaongea kama Anime
Mtu anaipenda character flani kwenye anime anaivaa mtaani hadi shuleni
Cheki baadhi ya picha chini
Sumimasen minasani welcome to Japan