Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wapenzi wa Muscle cars kama za kwenye Fast and Furious, zikina Ford Mustang, Camaro, Challenger, Shelby etc nadhani mnajua features kuu ni powerful engines, high speed, poor fuel efficiency, burnouts na makelele.
Sasa Dodge wanaenda against odds na kuwaletea EV Daytona. No engine, lakini sio Silent kama Tesla!
Hii ni generation ya nane ya Dodge Charger, na ni Dodge ya kwanza kua full EV, itatoka huu mwaka 2024 (full EV) inaitwa Daytona na mwakani 2025 watatoa Internal Combustion Engine (ICE) yake, itaitwa Charger Six Pack yenyewe itakua na 3.0L inline 6 engine (sio tena Hemi V-8 engine)!!
Kwa leo mi nitaomba tugusie hii ya umeme tu (Daytona).
Kama tulivyosema Dodge Charger Daytona itakua ni full electric, ikija na electric motors mbili (moja matairi ya mbele na nyingine ya nyuma kama kwenye picha hii ya chini) kwahiyo itakua ni AWD, na itakuja na 100kWh battery.
Daytona itakuja na options mbili, base option ni R/T itakayokua na 500hp na ya pili Scat Pack yenyewe itakua na 670hp, ila zote battery sawa, tofauti ni performance na range tu.
Sasa kwakua ni EV, haina combustion kutoka kwa infamous Hemi V-8 engine, wala Exhaust Sound hamna tena, Dodge wameamua kuweka fake Fratzonic exhaust sound, inayotumia 600-watts speakers kutengeza iyo V-8 sound!
Kwa wapenzi wa sauti ya V8 engine, mara ya kwanza Dodge walivyotoa video ya hii fake sound, watu waliikataa so wameupdate na juzi kati wamepost tena IG sauti ya Daytona EV inapita kwenye tunnel. Aisee, ukiisikia hauwezi amini kama ni EV. Ni purely V8.
Yes, ni sauti kutoka kwenye speakers sio engine, lakini ni bora kuliko kua na silent kama Model 3!
Bei kwa Daytona R/T itakua $60,000/= na $75,000/= kwa Scat Pack.