Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Jamaa bahir sana yule...movie zake zote low budget...ndiomana anafel
makampuni ya ya filamu ya marekani yani figisu sana bila kutia mkono wao kwenye movie yako haifiki mbali we angali wachina wamehangaika weeh wenyewe wamerudi marekani
Ila mm nashindwa kuwaelewa nyie majamaa..
Shida ni scot au waandaaji Wa filamu husika?
Nachojua Production manager ndio wanaanda bajet scot he's just Actor
 
Ila mm nashindwa kuwaelewa nyie majamaa..
Shida ni scot au waandaaji Wa filamu husika?
Nachojua Production manager ndio wanaanda bajet scot he's just Actor
HATA WAANDAJI WENGI WA FILAMU AMBAZO NI SCOTT ANA ACT NI KAMPUNI ZA UINGEREZA NA WHY WANAPENDA KUMTUMIA SCOT KWA LOW BUDGET FILM
 
Iko Uwais yupo vizuri mazee japo Donnie Yen, Michael J White na Hata Scott Adkins they are still on a mainstream lakini huyu mshkaji ni moto wa kuotea mbali asee .Time will tell
 
Niliwahi kucheki movie yake moja anamwokoa msichana mmoja asiuzwe kahaba na matajiri fulani, kuna sehemu anakuja kubaini mshkaji wake aliyokutana naye kwenye basi akija mjini ni kibaraka wa maadui zake. Ngumi zikapigwa kwenye lift, ila mwishoni anauawa na huyo msichana anakuwa huru
 
Mi mwenyewe namkubali Don yen bwana...
 
Anaitwa lee byun hun ame act kwenye Series ya Terrorist ya kikorea IRIS 1
Kuna yule mchina kacheza Wrath of Vajra ni noooma!!! GI JOE 1 iko bomba mno ila ilifeli mauzo..
 
Jason statham ni mpiganaj mzuri siwezi sema anamzidi Scott Adkins coz kila mmoja anachaguo lake Jason statham amejifunza mapigo ya kung fu and wushu na kutunukiwa cheti wapo na wengine wengi ambao mbali na muvi ni maisha yao halisi kina jet li,elodie young,Jackie Chan etc.
 
Aisee kuna ile kitu ya Ton Jaa ong bak 1 yani mapigo yake yana energy ya hatari.
That movie is really
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…