Wapenzi wa muvi za James Bond: Nasikia Lupita Nyong'o atakuwa miongoni mwa waigizaji

Wapenzi wa muvi za James Bond: Nasikia Lupita Nyong'o atakuwa miongoni mwa waigizaji

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Shaken not stirred...hivi toleo jingine la movie hizi pendwa ni lini maana nimesaka online sijaona kitu. Nilichokiona ni mtanzania Kupita Nyong'o kutoka jijini Mwanza atakuwemo kwenye movie hiyo ijayo.
nextbond-lede-1552389453.jpg

Nimeipata picha hii wanasema hiyo James Bond Mpya hawa ndio watakaocheza...Na huyu jamaa hapa ndiyo Director
cary-joji-fukunaga-attends-the-2018-lacma-art-film-gala-news-photo-1063186930-1552336127.jpg
 
Shaken not stirred...hivi toleo jingine la movie hizi pendwa ni lini maana nimesaka online sijaona kitu. Nilichokiona ni mtanzania Kupita Nyong'o kutoka jijini Mwanza atakuwemo kwenye movie hiyo ijayo.
View attachment 1100619

Nimeipata picha hii wanasema hiyo James Bond Mpya hawa ndio watakaocheza...Na huyu jamaa hapa ndiyo Director View attachment 1100620
Sorry tangu lini Nyong'o akawa mtanzania
 
Kudaaadeki...!!
Safari hii watauza na kuvunja rekodi kwa sababu tu ya huyo MBONGO Dada Lupita...
 
😂😂😂Wasukuma mshaanza shobo dundo daaadeki!!!!😂😂😂
 
Lupita ni mbongo wa rombo wakenya waliwahi tu kumuandika kwenye magazeti Kama kawaida yao so tukaamua kuwaachia.
 
Back
Top Bottom