Sorry tangu lini Nyong'o akawa mtanzaniaShaken not stirred...hivi toleo jingine la movie hizi pendwa ni lini maana nimesaka online sijaona kitu. Nilichokiona ni mtanzania Kupita Nyong'o kutoka jijini Mwanza atakuwemo kwenye movie hiyo ijayo.
View attachment 1100619
Nimeipata picha hii wanasema hiyo James Bond Mpya hawa ndio watakaocheza...Na huyu jamaa hapa ndiyo Director View attachment 1100620
Wakenya wanasemaga vitu vyetu ni vyao sasa acha mkuu na yeye akomesheMara hii lupita kawa mtanzania aiseeee
ila lupita ana akili sana nasikia kawajengea wazazi wake nyumba kubwa sana pale buzuruga stendi ya zamani
Kumbe wameanza wizi zamaniπLupita ni mbongo wa rombo wakenya waliwahi tu kumuandika kwenye magazeti Kama kawaida yao so tukaamua kuwaachia.
Sanaa. Sasa hivi wanataka kumuiba magufuli ila sisi tunawashauri wamuibe bwana kazi wa pale mjini Kati.Kumbe wameanza wizi zamaniπ
π π πSanaa. Sasa hivi wanataka kumuiba magufuli ila sisi tunawashauri wamuibe bwana kazi wa pale mjini Kati.
Wakenya wanasemaga vitu vyetu ni vyao sasa acha mkuu na yeye akomeshe