πππLupita ni mbongo wa rombo wakenya waliwahi tu kumuandika kwenye magazeti Kama kawaida yao so tukaamua kuwaachia.
Mirungi ndio Miraa? πππKama wakitaka tubadilishane na Bashite tutawaongeza na hela ya mirungi.
[emoji23][emoji23] DaahKama wakitaka tubadilishane na Bashite tutawaongeza na hela ya mirungi.
Hata Mbwana Sammata wanasema ni raia wa Kenya hao jamaaNaona unajibu mapigo wa Kenyans baada ya kusema Joseph Haule ni wao
Usifananishe kilimanjaro na vitu vya ajabuLupita na Tanzania ni Kenya na Kilimanjaro
ila lupita ana akili sana nasikia kawajengea wazazi wake nyumba kubwa sana pale buzuruga stendi ya zamani
Lupita Nyongo ni Mtz [emoji15]
haaaaaa umeua!!ila lupita ana akili sana nasikia kawajengea wazazi wake nyumba kubwa sana pale buzuruga stendi ya zamani