Wapenzi wa Muziki: Hivi umbo la mwanadada Besta ni mchina au...!?

Wapenzi wa Muziki: Hivi umbo la mwanadada Besta ni mchina au...!?

Pat Gucci

Senior Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
140
Reaction score
19
Hili jina la Besta, nadhani sio geni kwa wadau wa tasnia ya muziki wa hapa nyumbani (Bongo Fleva).
Swali langu ni kuhusu hili umbo la huyu mdada Besta kama umbo lake au shepu yake ni mchina (alitumia dawa kuliongeza)maanake si mchezo, kila nnapo muangalia nadata!
 
Ndugu, besta namfahamu fika anafiga namba nane kweli na ni mfupi sana kama futi tatu hivi, ila kwa hii video yake mpya kidogo imefanyiwa editing on her back
 
mdau weka picha hapa ukoleze mjadala bana; sasa tunajadili vp kitu hewa? usiwe kama gamba bana
 
Niweke wazi tu hapa, na lolote na liwe! Namshukuru Besta kwa kuniimbia wimbo 'My baby' nakuahidi sitokuacha wangu. Ndoa nini bana?
 
Jamani mke wa mtu huyo tumwache jamaa amfaidi peke yake
 
Niweke wazi tu hapa, na lolote na liwe! Namshukuru Besta kwa kuniimbia wimbo 'My baby' nakuahidi sitokuacha wangu. Ndoa nini bana?
Kuwa muungwana, heshimu ndoa ya watu au mfate mwenyewe ukamweleze
 
Na kweli jamani jamani kama ni mke wa mtu and it's that much known to the public haifai kujadili kiukweli
 
Jamani huyu ni mke wa mtu inabidi heshima ichukue mkondo wake...
 
Kwa kuwa ww ni mwanafunzi wa kidato cha tano, kwa hizi post zako sishangai kwa nn umekuwa suspended
 
mdau weka picha hapa ukoleze mjadala bana; sasa tunajadili vp kitu hewa? usiwe kama gamba bana

besta.jpg

Ipo hapa:http://2.bp.blogspot.com/_dlJbQYAGdoA/TPZM-xfeNrI/AAAAAAAAQls/CJB98GlAuyY/s400/besta.jpg
 
Jamani sio kweli kama hizo dawa za kichina ndio zina nguvu kiasi hicho,kiasi cha kumuumua mtu ni dhana tu na sio kama watu wanavyosema
 
Back
Top Bottom