Kuwa muungwana, heshimu ndoa ya watu au mfate mwenyewe ukamwelezeNiweke wazi tu hapa, na lolote na liwe! Namshukuru Besta kwa kuniimbia wimbo 'My baby' nakuahidi sitokuacha wangu. Ndoa nini bana?
Mkuu mambo yenu sisi hayatuhusu.Niweke wazi tu hapa, na lolote na liwe! Namshukuru Besta kwa kuniimbia wimbo 'My baby' nakuahidi sitokuacha wangu. Ndoa nini bana?
Ndugu, besta namfahamu fika anafiga namba nane kweli na ni mfupi sana kama futi tatu hivi, ila kwa hii video yake mpya kidogo imefanyiwa editing on her back
Ahahahaaaah!!Kwa ufupi huo, basi huyu ni mbilikimo..
mdau weka picha hapa ukoleze mjadala bana; sasa tunajadili vp kitu hewa? usiwe kama gamba bana