Wapenzi wa Muziki: Hivi umbo la mwanadada Besta ni mchina au...!?

That if
though shalt confess with thy
mouth the Lord Jesus, and
shalt believe in thine heart that
God hath raised Him from the
......dead, thou shalt be saved.
For whosoever shall call upon
the name of the Lord shall be
saved.
Romans 10:9, 13.
 
kiukweli ninampenda sana besta! Nitaheshim sana ndoa yake kwa kujaribu kupunguza hisia zangu kwake!
 
Huyo mdada mchokozi sana..... anakwaza sana wajamaa... hilo wowolo anavyolizungusha...
 
Dah...kazi kweli kweli.....swali lako ungemuuliza Marlaw. btw ni umbo lake halisi halina mchina
 
naomba nisiulizwe nilijuaje ila nawahakikishia wadau,ile kitu ni orijino from kagera aissee!naheshimu ndoa yake so siwezi comment zaidi ya hapo!
 
Correction please, nilimaanisha hiyo sio mchina amejaaliwa na muumba
correction unafanyia kwenye post hiyohiyo uliyokosea sio lazima ufungue post mpya. baada ya kuandika post na ku-kupost mwisho kwenye chumba chako cha post huwa kuna maneno "edit post, reply, reply with quote ..." hapo ndio unapofanya masahihisho yako unayotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…