Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Mimi nimekuwa mpenzi na muumini mkubwa wa nyimbo za trance na electronic karibuni tushee vitu mbali mbali juu ya mziki huu mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye uzi amekimbiaSikiliza kwanza ngoma hii ya Gareth Emery na Annabel inaitwa Like a prayer ambayo ndo ringtone yangu kwa muda mrefu Sasa. Ukimaliza tafuta nyingine inaitwa You'll be ok kaipiga na huyohuyo Annabel hii ndo my most favorite.
Ngoma nyingine za jamaa nazozikubali ni Saving Light, Yesterday, Gunshots (Bogdan Vix Remix), Fable....
Wachangiaji wamemzid uwezoMwenye uzi amekimbia
Mbona uzi kama huu upoMwenye uzi amekimbia
Sijawahi kukutana naoMbona uzi kama huu upo
Sijawahi kukutana nao
Dah nimejaribu kupitia huo Uzi mara nikakutana na huu mwingine ni moto hatariWapenzi wa electronic dance music (EDM)
hivi karibuni nimetokea kuupenda sana huu music. ningependa kuujua zaidi kutoka kwa wapenzi wa hizi ngoma za kina Calvin Harris, David Guetta, Tiesto, Dash Berlin etc. ni dj gani unamkubali zaidi? song gani unazikubali zaidi?www.jamiiforums.com