Wapenzi wa Mziki mzuri tupitie hapa kupata burudani

Wapenzi wa Mziki mzuri tupitie hapa kupata burudani

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Wakuu nisiwachoshe, Msinichoshe, Tusichoshane,
Kuna vijana wanaimba mziki mzuri wengi wao wapo mitaani na hatuwajui wala hawajapata nafasi ya nyimbo zao kusikika kama waliopata bahati ya kujulikana,

Ni wazi kuwa mitaani tuna vipaji vizuri na vikali hata kuliko wasanii wakubwa walibahatika kupata Majina,
Kama una Ngoma kali unayoikubali ila unahisi Mwenye Ngoma hiyo hajapata nafasi ya kujulikana fanya Kuitupia hapa na kutaja Jina la mhusika ikiwezekana kama unamjua weka Location anapopatikana kama vile Mkoa wilaya etc.
Ila kama hujui na unajua jina tu weka Ngoma hapa Chini watu tuenjoy Miziki mikali
Lakini pia uzi huu unaweza kuwa kama Platform kwa wadogo zetu wanaojitafta katika mziki, Na tukiachana na hapo Uzi huu utakuwa kiburudisho kwetu wapenzi na wadau wa Mziki mzuri

Mimi naanza na Hii ngoma

Anaitwa DulyIcetone Kutokea Singida, Hatujuani nae, ila hii ngoma niliikuta mtaani kusemakweli kwa sasa hii ngoma ndio Ngoma No 1 kwa playlist yangu japo sina details ilitoka mwaka gani.

DulyIceton -Kusudi
 
Najua unampenda Best Naso

lakini nyimbo nzuri ni hizi
 
Screenshot_20240917-141115.png


MALCOM LUMUMBA
 
Back
Top Bottom