Tujikumbushe wakati ule miaka ya 80 zanzibar ilipokuwa zanzibar ya kweli Raha tupu ukingia bwawani ,fuji , madema au afrika House billa kusahau Starehe club mabaria wa kizenj wakingia na kutoka wengine sasa wamekuwa ma CCM kina Eddy Riyami utashanga
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=fmUO7hCDe5I&NR=1"]YouTube- Stevie B - I Wanna Be The One[/ame]